TETESI za SOKA BARANI ULAYA Leo Tarehe
20.7.2024 Juma Mosi
Club ya SOKA Manchester United ya England wako tayari kumruhusu fowadi wa Brazil Antony, 24, kuondoka kwa mkopo msimu huu wa kiangazi lakini iwapo tu klabu iko tayari kulipa mshahara wake wa £70,000 kwa wiki. (ESPN)
Kiungo wa kati wa Uhispania Sergi Roberto, 32, anajaribu kuhamia Ligi ya Preimia baada ya mkataba wake na Barcelona kumalizika. (Mundo Deportivo - in Spanish)
Crystal Palace wako tayari kutoa pauni milioni 30 kumnunua kiungo wa kati wa Arsenal na Uingereza Emile Smith Rowe, 23. (Talksport)

No comments:
Post a Comment