Mzimbilikillertz.com

It's best music blog

BREAKING



Karibu utangaze biashara yako hapa



YAHYA MZIMBILI



Mzimbilikillertz the only one



Wednesday, 17 June 2020

Khery Sameer Rajab (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Mr. Blue; amezaliwa 14 Aprili 1987) ni msanii wa muziki wa R&B na Bongo Flava kutoka nchini Tanzania.
Mr. Blue
Mr. Blue kwenye pozi.
Mr. Blue kwenye pozi.
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwaKheri Sameer Rajabu
Amezaliwa14 Aprili 1987(umri 33)
Aina ya muzikiR&B na Bongo Flava
Kazi yakeMwimbaji
AlaSauti
Miaka ya kazi1999-
StudioG. RecordsDhahabu Records41 Records
Ame/Wameshirikiana naTID
Lady Jay DeeK-Lyin
Alifanikiwa kujizolea umaarufu mkubwa huku akipendwa na wapenzi na mashabiki, mara tu baada ya kuingia katika fani ya muziki na wimbo wake 'Mr Blue'. Ambapo baadaye ikaja kuwa kama ndiyo jina lake la kisanii.
Mr Blue alikuwa gumzo na wimbo 'Mr Blue' kabla ya kuja kupata umaarufu zaidi na wimbo wake wa 'Mapozi', ambao ndiyo uliomzidishia kupendwa kutokana na mpangilio wa mashairi na sauti aliyotumia pamoja na maujanja ya ala ya muziki wenyewe.

MAISHA BAADA YA MUZIKI

r Blue alianza kujihusisha na masuala ya muziki mwaka 1999, na kilicho sababisha ajiingize katika fani hiyo ni kaka zake waaliojulikana kwa majina ya The Boy Stain na Obrey, ambao nao walikuwa wakijihusisha na suala zima la muziki.
Lakini hakuanza kuimba moja kwa moja, bali alikuwa akifuatilia tu jinsi gani muziki unavyokua, na mwaka 2001 ndipo nilipojiingiza zaidi kwa kuanza kuimba katika sherehe mbalimbali za 'Macamp.
"Mwaka 2003 kuelekea 2004 ndipo alipotoka na wimbo wake wa 'Mr Blue' ambao ndiyo ulioanza kumapatia umaarufu.
Wakati akitamba na kibao chake hicho, lakini hakutaka mashabiki wamsahau mapema, hivyo aliamua kutoa kibao kingine kilichokwenda kwa jina la 'Mapozi', ambacho kilimtangaza na kupiga hatua kupitia nyimbo hizo.
Mr Blue ambaye albamu yake ya kwanza ilikwenda kwa jina la 'Mr Blue' na ya pili ni 'Yote Kheri'.
Pia anawashukuru mama yake mzazi Halima Rajab na baba yake Sameer Alhaj Alhad Ally kwa kumruhusu kujikita katika muziki.[1] Pia aliwahi kuwa na mahusiano na msanii mwenzake anayejulikana kama Naj anayeishi jijini London. uhusiano huo uliisha kitambo kidogo na sasa Mr. Blue ana mke na sasa hivi anatamba nyimbo aliyoshilikishwa na msanii mwenzake ambaye anajulikana kama shetta nyimbo ambayo wamefanyakazi watu watatu ambao ni shetta mr blue na jux.....!

No comments:

Post a Comment